Simulizi

KHADIJA TOBO
HADIJA TOBO

                  SIMULIZI .....Hadija tobo
                 MTUNZI....... Tulyanje peter
                   SEHEMU YA (1)
Mtaa wetu wa Mabibo Mwisho huwa hauishi visa hasa kwa siku za mwishoni mwa wiki, mtaa ambao nimehamia week chache zilizopita, asubuhi ya leo jumamosi, siku ambayo huwa napenda sana kulala mpaka saa mbili au tatu kabisa kufidia usingizi wa week nzima ambayo huwa naamka mapema sana kuwahi kazini kwangu, Kiluvya kwa Komba, lakini ndio kwanza saa kumi na mbili kasoro nikaanza kusikia kelele toka chumba cha jilani yangu kinachokaliwa na mpangaji mwenzangu, yeye ni wakike anayeitwa Khadija Tobo, huyu ni mmoja kati ya wapangaji nane wakike kati ya tisa tuliopanga kwenye nyumba hii. wakiume nikiwa mwenyewe peke yangu, kelele ambazo nilishaanza kuzizoea, maana toka nimeamia hapa nilishawahi kuzisikia mala kadhaa.

“Toka bwanaaaa, kadude kenyewe kama kidole cha mwisho cha mtoto” ilisikika sauti ya Khadija Tobo, sijui kwa nini wanamuita hivyo, ambae alisikika akiongea kwa ukali sana, huku kwa mbali ikisikika sauti ya kiume ikiongea kwa kunong’ona, “Khadija usiongee kwa nguvu bwana, utanizalilisha mwenzio” ni kama huyo jamaa alikuwa anabembeleza, lakini ndio kwanza kama alikuwa anachochea moto, “Nasema toka bwana nibadilishe shuka kitandani kwangu, yani umenipakaza shombo halafu ukajilalia unaniacha na hamu zangu” aliongea Khadija kwa sauti ile ile ya ukali ikifuatia na sauti ya kufunguliwa kwa mlango wa chumba cha mwanadada huyu ambae mala kwa mala amekuwa akifanya matukio kama hayo ya kuwafukuza wapenzi wake asubuhi, baada ya kuwa amelala nao usiku kucha.

“Khadija ujue namimi ni binadamu, nilichoka jana usiku ndio maana nikalala” alijitetea yule jamaa ambae alikuwa ameng’ang’ania chumbani kwa binti huyu, “Hee! we mwanaume zinakutosha kweli!?” aliuliza Khadija Tobo kwa sauti ya mshangao na kejeli na kumfanya kijana wa watu ashindwe cha kujibu, “Kama ulikuwa umechoka ulikuja kufanya nini?, si ungelala kwako?” hili swali la Khadija Tobo lilitaka kunifanya nicheke lakini nikaogopa kuonekana wa ajabu, si unajua tena mwanaume kuonekana mbea haitakiwi, lakini tayari sauti za vicheko vya watu wengine toka kwenye korido vikasikika ikionesha tayari walishatoka kwenye vyumba vyao ili kushuhudia pambano hilo.

Kabla huyu jamaa hajajibu nikamsikia Khadija akizidi kumshambulia jamaa kwa maneno huku anamsukuma nje ya chumba chake, hapo vikasikika vicheko zaidi toka kwa wapangaji wengine ambao walisha jazana koridoni, “Halafu sasa bola hata hiyo mala moja ungenikuna kidogo, lakini kadude kenyewe kadogo na ukanigusa tu! na kuishia kunichafua” yalimtoka maneno Khadija maneno ambayo hayakuwa mageni kwangu nazani hata kwa watu tunaokaa nyumba hii na hata majirani wanaotuzunguka na ukichukulia ni uswahilini kweli kweli, hapo nikachungulia kwenye tobo la funguo ili nimuone huyu jamaa anayezalilishwa kiasi hiki, lakini sikufanikiwa kutokama na ufinyu wa tobo hili, hapo nikafungua kidogo mlango na kufunua pazia, hapo nikamuona Khadija anamsukuma kijana mmoja malidadi fulani hivi(sharo) aliyevalie bukta nyepesi na singland huku miguuni akivalia soxi fupi, mikononi mwake alibeba viatu na nguo zake, Khadija ambae alikuwa amevalia upande mmoja wa kanga, alimtoa yule kijana mpaka nje kabisa ya geti na kufunga geti kwa hasira kisha nikamuona Khadija Tobo anarudi ndani kwa mwendo wa haraka sura ameikunja kwa hasira, makalio yake yalitikisika kwa nguvu sana yakionyesha kuwa zaidi ya ile kanga moja aliyoivaa hakuwa na na nguo nyingine ndani.

“Pumbavu bia zangu umekunywa, nimekununulia chakula, majingambo kibao kumbe kazi hauwezi” niliweza kumsikia Khadija Tobo akijiongelea peke yake akionesha wazi kuwa amechukia, “Sijui ninamkosi gani mimi, yani kila mwanaume nikimpata nakuta hakuna kitu” mpaka hapo nikajikuta natabasamu mwenyewe kwa maneno ya dada huyu mrembo wa nguvu, kiukweli dada huyu ni mzuri wa sura hata umbo lake huwa linanivutia sana, hapo nikafunika pazia la mlango wangu na kuurudisha mlango, nikajifungia ndani mwangu na kurudi.

Naitwa John, nina miaka 24, wengi wananiita John Kibonge japo nina mwili wa kawaida tu! sifanani hata kwa mbali na vibonge, ni week ya pili sasa toka nihamie Mabibo Mwisho nikiacha mkasa kubwa huko Kibaha kwa Mathiuas nilikokuwa nakaa, kiukweli nililazimika kuhama huko kwa Mathus pasipo kujali kuwa ilikuwa ni karibu na kazini kwangu Kiluvya kwa Komba, sikuwa na ujanja zaidi ya kuhama kutokana na mkasa ulionikuta kwa Mathius, japo nilijua yatakayonikuta endapo nitasubutu kukubali kumuingizia dudu mwanamke yoyote pale mtaani, lakini ukweli namlaumu sana mama Semeni na pombe nilizokuwa nimekunywa siku ile, yani sitaki tena kukubaliana hovyo hovyo na mwanamke na kwenda kufanya nae kale kamchezo, japo huwa napata kazi kubwa ya kukwepa vishawishi vya mabinti na wake za watu hasa kutokana na sura yangu ya upole na ucheshi wangu kwa kila mtu, ok! tuachane na hayo yaliyonikuta huko Kibaha kwa kwa mama Semeni, nitakusimilia mkasa huo katika siku zijazo, leo nikusimulie mkasa wa Khadija Tobo.

Nilipoingia chumbani kwangu nikajaribu kijilaza kidogo, lakini ukweli ni kwamba, sikuweza kupata usingizi kutokana na kelele za nje toka kwa wapangaji wenzake, maana bado walikuwa wanaendelea kusimuliana visa vya Khadija Tobo, “Yani, sielewi huyu mwenzetu ana shimo la aina gani!, maana kila mwanaume kwake ana kibamia” aliongea mmoja wa wapangaji ambao wote ni wakike na wote wakacheka kwa pamoja huku wakinifanya namimi nitabasamu peke yangu, wakati huo Kahdija mwenyewe alikuwa ameshaaoga na kuondoka zake kuelekea kazini, “Sijui amekosa nini huyu dada, yani mzuri, anashepu ya nguvu, ana kazi nzuri lakini kila mwanaume hamtoshelezi, au ana bwawa mwenzetu” aliogea mwingine na wote wakaangua kicheko cha umbea, hapo nikaona hakuna tena kulala, nikajinyanyua toka kitandani nikiwa na bukta yangu ambayo huwa naipenda sana kutokana na kwamba ndio bukta pekee inayoweza kustili umbile langu la mbele, nilichoamua ni kuchukua ndoo yangu ya maji na kuelekea bafuni huku taulo langu likiwa begani, mswaki na sop dish mkononi, bafu lilikuwa la nje, kitu ambacho kwa siku kama ya leo ya weekend huwa napata tabu sana kwenda kuoga maana kutokana na chumba changu kuwa cha mwisho kikiongozana na cha Khadija, inanilazimu kuwaruka hawa wakina dada ambao wanajazana koridoni wakijipikilisha, waliponiona natoka tu wote wakaacha kuongea na kugeuza shingo zao kunitazama.
“Za asubuhi anko,” walisalimia karibu wote salamu za kufanana, “Nzuri jamani sijui nyie” niliitikia kwa uchangamfu kama kwaida yangu huku nikisaminisha misambwanda na vifua vyao, maana mavazi yao walivaa kama siyo dela basi kanga moja walizofungia vifuani, “Sie wazima, kumbe ulikuwepo ndani, tulijua umeenda kazini” aliongea mmoja wao ambae kiuchangamfu ni kama aliwazidi wenzie huku nikiwaona macho yao wameyaelekeza kwenye bukta yangu usawa wa dudu, “Weekend huwa napumzika, ofisi nawaachia vijana” niliongea hayo huku nikikatiza kwa kujibana bana pembeni yao, wakati mwingine nililazimika kuwaruka maana hawakunipisha kama kunipisha zaidi walijisogeza kidogo tu, nilipita na kuelekea bafuni, mala nikawasikia wakinong’ona “Mh! jamani mmeona ile habari?” huku mwingine akijibu, “Hapana bwana, itakuwa kuna kitu ameficha” sikuwajali wadada hawa ambao sikuwahi kuwaona waume zao japo baadhi nafahamu kuwa wana watoto.
Saa tano na nusu nilikuwa mitaa ya njia panda ya Mahaka ya Ndizi, pembeni ya barabara ya Mabibo kwenye bar moja napata supu, maana nilipanga nipate supu chapati ili ndio iwe moja kwa moja mpaka saa kumi jioni, nipige ugari mbuzi wa kuchoma kisha nisogee bar za karibu na nyumbani nipate bia kadhaa mpaka saa mbili mbili nikalale, watu walikuwa wengi sana pale bar huku wengi wao wakiwa wameshaanza kunywa pombe, nilikuwa nimekaa kwenye meza moja pembeni kabisa ya eneo lile la bar ambayo mwanzo ilikuwa imekaliwa na watu wawili mtu na mpenzi wake ambao baada ya kupata supu wakaondoka zao na kuniacha mimi mwenyewe ambae nililetewa supu ya ng’ombe na chapati nne, ukweli kutokana na shughuli zangu huwa nakula sana.
Wakati naendelea kula, mala nikastuliwa na sauti ya mtu wa makamo aliyekuwa ananisalimia, “Habari kijana” hapo nikainua uso na kumtazama msalimiaji, alikuwa ni mzee mtu mzima aliyevalia kinadhifu, “Safi mzee, shikamoo!” niliitikia huku nikiendelea kumtazama yule mzee ambae alikuwa amesimama mbele yangu, “Marhaba kijana, vipi naweza kukaa hapa?” aliuliza yule mzee kwa sauti tulivu na ya upole huku akionesha tabasamu, “Bila shaka mzee, unaweza kukaa” nilimjibu kisha nikaendelea kupata supu yangu, mala muhudumu akaja haraka na kumsikiliza yule mzee ambae nilimuona akinitazama sana usoni kama ananifananisha, “Nililetee bia mbili za baridi tafadhari” aliongea yule mzee huku akimpatia yule mhudumu noti ya elfu kumi, dakika chache yule mhudumu akaleta bia mbili na grass kisha akamfungulia na mzee yule akaanza kunywa bia yake taratibu, wakati huo mimi nilikuwa nakaribia kumaliza supu ili niondoke zangu, maana huyu mzee alinitisha kutokana na kunitazama kwa muda mrefu, niliogopa sana, isije kuwa anakaa kule kwa Mathius anafahamu kilichonikuta kule.
“Naitwa Nguvi, nakaa Mbezi, samahani kijana sijui tuliwahi kuonana sehemu?” aliniuliza yule mzee, hapo bila kumtazama nikamjibu, “Hapana utakuwa umenifananisha” nilijibu kwa sauti kavu nikijitahidi kuficha kitetemeshi cha uoga huku nikiendelea kufakamia supu ya mwisho mwisho, ili niondoke zangu, “Mh! haiwezekana kuwa mnafanana hivi, wewe sie bwana John Kibonge?” hapo nikahisi mkojo unataka kunichomoka, “Tena week kama mbili zilizopita nilikuja pale 

No comments:

Post a Comment

Mtumwa Mwaminifu

SOMA HAPA *STORI*:*MTUMWA MWAMINIFU *MWANDISHI*:KELV CHITANDA       *SEHEMU  YA 1*         Jakson alijikuta anakuwa mtumwa wa mapenz...

Top ten (10) Kuhaya media